Riba ya maboy na ma-matha

June 23, 2009 at 12:56 pm | Posted in life | 2 Comments

jana kedo jioni hivi after ma-wira wira ivi, niliishia kunywa korner ingine mi hufreqeunt jijini ku-hook up na ma-mboiz, baada  si badala ya kazi. sasa jo, hakukuwa nare ile joint, kwa hivo wasee walikuwa tu wanashikihsa ma-dwinks zao, jaba na nini tu ivo ivo bila hewa. lakini wajua riba lazimi ishike, ata kama.

sa enyewe, tulikuwa mi, Dagi, Oyengi papa na ka-mboos juu ya miti, stoney na ma-teargas ivi. story tu ziliwa tu zikikam huku tukichill githaa iende kiasi…kuingia mtaa saa moja ka kuku hailetangi bidii ma-tyme mob, eh…

sa enyewe, baada ya mastori stori hivi (za madem, kumangana, nini nini) ni Dougie alipiga riba ingine ilim-happen jana…na ndo nataka kuwapigia hapa.

Sasa, mboiz…Dagi ni msee wa insurance na siku hizi anatusumbua sana sijui tununue package gani na gani.  jana alipata ma manyasa fulani hapo na riba ikashika njia ingine. Eti matha kitu ya kwanza alimdaisha ni venye ako ‘lucky’ ata ‘hajapata’ huzzie yake hasapo…alafu venye dagi ameshindwa kitu ya kusema, matha akaendelea

” ah, relax, najua ni hard kuanza kuongea tena, lakini usijali…”

Stori ilichukua direction ingine mpaka boy wangu Dagi akasahau alikuwa anafanya nini hapo…

Eventually, madha hakuchuka ile insurance lakini ali-promise sijui ku-keep tabs akiget mkwanja. Sasa Dagi na yeye, details zenye ana-insist ni venye walikam kwa mat pamoja, sijui venye aliliwa aka-feel hizo ma-jeggie… na ndo hi topic ilicome up. Enyewe, hakuna mtu alikuwa ana-oppose…ukiangukia ki-madha ni Bahati ya msee, Oyengi ndo anaongea…juu ule mtu atakugawa mpaka u-landi down ka lizard…zingine zilisemwa wacha tu ni-censure tu, enyewe, kuna watu waliwanga under the influence.

sa mi hiyo story bado nafikiria ka ni poa. u- hook up na mmadha, alafu ana-ku maintain ivi na wewe service ni kwako. si eti hawa ma-boy hawana kitu ya ku-do…ni venye tu spirit ya adventure and better live nini nini…si-need ku justify anyway.

its all in the pursuit of happiness.

personally, bado sija-settle kiakili…wacha tu mjamo anipite ivi tuone kenye nita du!

Advertisements

2 Comments »

RSS feed for comments on this post. TrackBack URI

  1. sawaaaa siku hizi ni ma cougar 2!! i luv u blogs kudos!!!

  2. Haki why lie, nimeshindwa kusoma post lakini najikakamua..

    pole, wanted to ‘un riddle it but other things got in the way…


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Create a free website or blog at WordPress.com.
Entries and comments feeds.

%d bloggers like this: