Wapi ile kitu nivute!

May 26, 2009 at 1:26 pm | Posted in life | 3 Comments

Jo! Ni kaa nilisare ku-worry over ma-issues zingine ka ma-dem.lakini bado. Kuna ma-issues kadhaa zina circle kwa ubongo ka ma-vultute juu ya mzoga. Najua nime mess mara mob lakini naendelea tu ku learn. In fact, nikitupa glance manyu, naona nime grow. Siku hizi mi si Kanyotu. Kitambo sikuwanga nafikiria. Ka mwera kokote kanapita mbele yangu kaliwanga POTENTIAL mbaya! Nile-end up na so many hang up projects, unsatisfaction, nini nini—although pia, nili hit bull’s eye mara kadhaa – wewe, usinicheki ivo!
Githaa ka hii, sina dem naeza dai eti ni right woman wa mine—lakini hakuwezi kosa ma emergency pills, au vipi? Mi ni free bird ingine hapo inapenda tu kupeperuka ka kipepeo bila flight governor. siwezi naswa na mtego ya mneno ka love- ati upendo lovey dovey nini?
Aiiii…
Lakini siwezi danganya, kuna tu binti kadhaa tushasengua roho yangu tu vi-mwadhara. Yaani, tunaibonyeza bonyeza ka madathi—lakini ka kawa, hizo ma feelings huwanga hazi make kupata kitu ka echo kwao ndo zitoke teke mpaka honey moon. Walami huiita un-requited love, mtaa si husema—ULILAPWA!
Sasa enyewe, juu ya risto ka hizo, nime lean back na kufikiria. Nime take a break from career thoughts nitatue huu mjadala. Kwanza, juu sina ka-regular, nita survive aje? Mataki ziki kamithes ivi na mi si msee wa ‘soap opera’ nitawahi wot? Najua life si kumangana tu—na mi nika nimechill—ama lack of opportunities ukitaka. Either way, nimeswallow chill pill na Mambo ni mdogo mdogo this time: kukulana nimeachia ma-doggie na ma-boy wenye nyege ka ma tom boy…hehe.
Lakini, sidhani boy ako fiti kabisa anaeza chapa miezi mob bila ene! Ata kaa ni kamoja tu- mauraru (blue balls) zitakurarua mbaya! Ma- time, ni poa uflex nyundo ucheki ka ina eza service kabati bila matafash – si smart siku ile una hitajika mtambo ukware kunguruma!
Kwanza ma-days ka hizi sex ni kaa iko legal outside marriage.ni rare upatane na shorty anadai sijui mpaka ndoa ndio nitatoa urwach—ata ka kunao, ma boy ni wale wale! Ata ma-pero wamekubali hii generation haiwezi chill. Walitry ku washow wa chill, lakini wapi! T.V. nayo ndo hiyo – lakini same screen scenes za sex. Ni hard ku avoid hii topic na in short, society iko saturated na sex (matatu, radio, ofisini, chuo, hospitali, sokoni…) Yaani, mbuyus, mtasis mbig, mnyasa, wanakudunga re-al roho swafi live: Jo, tumia kondomu!
Generation ilidinda kuchill!
Lakini hakuna moral police hapa- we mangana ama mangwa tu ki ujanja, maisha ni yako!
On the same tone, different topic…
Ni sad sana kwangu ka reason-ing yangu sa ime-toe hiyo line yaku rate dame na kenye anaeza wahi kukuwahi (punani). Ma –predicaments zimenifumania na siwezi help ku-wa blame hawa ma-smarta! Yaani, fraction kubwa ya wale nina patina nao, wananibore ‘ki-intellectually’. Though ni easy ku switch to her’ level’, ma- mental fuck-alties ziko bored to death- hakuna kitu anadai inaeza stimulate thinking. Ma water head mbaya! Si eti nadai mi ni ka-intellectual Fulani, a a —but just-above-the-average reasoning is all too welcome!!!! Challenge, ni-challenge—make me feel that you not your-run-off-the mirrs kiabu kaeretu…I mean, my heart swells, one is excited by the above-the-notch goodies u got (coz in the long run, it will run down shawty wot u got??).
Nimepatana na ma-nji-mata kadhaa wa-swift upstairs and man, regardless of some of their looks (mara mob yuwanga reverse relationship)— and I enjoyed it immensely.
Otherwise, kawaida, me hu turn off my mental LSD lights, let the tongue do the cliché wagging, as I fork-ass on my favourite verse that describes such (from a short story called ‘ Darwin’s Helper’:

Her putrescence, her sheer stinking stupidity, was most certainly generational if not multi-generational. The only good thing about her life was the orgasm her father had in order to create her. I can’t imagine any situation or path of destiny that would lead her to actually doing any good on this earth, nothing at all.

In the end, mi huuliza nitatoka hiyo mtaa yako lini nikatafutene na Peter huku nikiwika:
<<<<<<<<<<>>>>>>>>>>>>>
WAPI ILE KITU NIVUTE!?
***
Don’t forget to check this URL too
http://screamintern.wordpress.com
and drop your comment on that crazy story.

Advertisements

3 Comments »

RSS feed for comments on this post. TrackBack URI

  1. Hiyo risto ya shortie mwenye akili above average ni ukweli. Ma-time unanego na dame akili-chache, una-feel ni kaa pano. Inaweza kuwa na-attract ma-substandard sababu ya venye nimevaa; jinika ziko sag-mode, na shati bigi ni kaa naficha Siamese twin. Ndula zenyewe ni takiz, in case kaumane, niweze kuruka fence [Huwezi ruka na mocca].

  2. Erm… I’ll be back to comment after I’ve read like 20 times to understand. Promise 🙂

  3. lol…kuna version ya swa ya lol..fanya utafiti na unishow..but great story..itabidi umestep down intelligence kiasi..sidhani ni vibaya kusaidia dunia ikuwe a better place..ukiservice vitz na vw beetles kadhaa ukingojea mercedes ya you itoke dt dobie..juu lazima itacome..in the meantime..bado wewe ni mechanic..usichague gari!

    mawazo ma ma-wise, ka Solomon juu ya Kangeta…hapo umenena, lakini haimahishi nitumbukize (lol) kichwa kwa mchanga- ma observation lazima zikuwa, ama?Chiaz mudhii!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Create a free website or blog at WordPress.com.
Entries and comments feeds.

%d bloggers like this: