Curse huyu jamaa

December 16, 2008 at 9:30 am | Posted in life | 6 Comments

Nilidai tu kamoja, akakanyangia, mi nikajam, yeye aka-duck, nikidhani ni jokes, nilibaki tu ma-lights, ideaz mob kwa kichwa lakini hazi make sense…juu ni yeye tu pekee nishawahi like, wengine bosk walikataa kuingia, mipango yangu ikawa haivai.

akaenda tu ivo...

hii ni story ya boyfulani wa hood G kwa core, ka P I M P ki plani,  lakini akawa na ‘squashy pimple alipo meet mtoto fulani, mtoi wa Meja, sonko fulani mtaa.

yaani, zile feelings zilielea kwa blood stream, zikawa tu zina nihaunt vibaya, kila usiku nikilala, safari na mawazo ziliniandama. Zikawa haziniachii nafasi ya kupumzika juu jo, nilimess kitu real, na unajua ghetto kuangukia burus sio fake ni kismat tu…

ma-blame na ma-blame, kila time tu nilijiblame, maswali hayana jibu, ma-memory sweet tu ndo zilini keep sober. day ingine hapo, nakumbuka, nilimwangushia vision twedi thate fae, future yake na mimi, kakabaki tu kana-blush, zile dimples zika sink ka venye roho yangu yu bonyezeka kila time niki checki.

Wallahi, sijawahi feel kitu ha hii.

Huyu mtoi alimada kimadaga, ka folk tale ya Lwanda Magere ali-discover behind hii veil ya u-gangsta, kuna kitu soft huku ndani.

Saa zingine, hizi mathoughts zi unitempt nitoe urwaro niiseti kwa mdihe, nikimbie mtaa nikiwika…

Lakini na-decide tu kujiskizia tu, ziwezi show mtu huzuni inayo nikumba, machungu yanayonipata ni siri yangu na kaburi la sahau.

Ata ka sitawahi get mwingine ka yeye…maisha lazima iendelee, ama?

***hii ni fiction, hakuna kitu personal, hehe.**

Advertisements

6 Comments »

RSS feed for comments on this post. TrackBack URI

  1. bawna, have mercy on us…some english

  2. is that her you photographed? Lak u sed, ..maisha lazima iendelee. Get over her Boyfulani, and look for another to fall in lurv with. It can happen..

  3. Vipi niaje! Kumbe mnati ana roho mandazi pia! Lakini usijali utampatatu siku moja

    sindio jo, huko ndani, wao hudai, there is something soft…what goes around, i and i must kumbaya..

  4. Yaani kaa imefika ati ngotha unataka kuivaa kwa mdihe, man mkute tena ujitetee na u-approach na stingo different.

    inaitwa kutupisha mtu mbao kabisa….manze joo, stingo zote kwa kitabu nitajaribu!

  5. lol on mnati pia ana roho mandazi.. boss vuka ile pande ingine kwenye feelings uachwa kwa bed side msee akitoka home juu hivi ndivo mi hufanya!

  6. enyewe ni kweli…..ni ngumu kuwai burus zimestand kwa ghetto…kwanza venye ma fisi ni wengi. usijali….ebu revise marhymes, uangushie lines mezesh ucheki huyu msuper akiingia bosk na double.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Blog at WordPress.com.
Entries and comments feeds.

%d bloggers like this: