hisia ka ii…

November 26, 2008 at 3:30 am | Posted in life | 5 Comments
Tags: ,

na-look on my left hapa juu lakini hii watch ile-chew kitambo.

time ime-freeze.

ka tu venye na-feel life inanichapia yaani.

wa!

ma-doba za dube ndo zinani-console kwa background na ustake jua ni saa ngapi.

somebodytoldmeaboutit…when i was a little boy…..(prisoner -lucky). ha, walakin mi si msee m-bad, though na feel niko kwa jela fulani.

6:05am, mashin inadai.

asubuhi imefika, lakini ni nini mpya?!!!

nilikalia hii kiti kedo 9-something na since then ilikuwa tuu coffee, toffee, ma-cookies na ma-risto strange strange za ma-editas za kupitisha time…mi, jo, nilikuwa juu ya design- kuselect ma mboto, ku-edit, ku fix ma-newstory zingine ziko allergic to creativity.(hii ni issue yetu ya last this sem na lazima itokee b4 exams!crazy, but progress ni timam…

ndo maana mi nitaweka dreadie siku moja, ata ka buda atadai nimeingia mungich(na hataki kuniona kwakwe tena)…ndo nipate kitu ya ku-scratch.na saa zile githaa wazimu zimepanda ni-shaki-ngi tu ka bob juu ya ‘natural mystique…ama ni natural mistake?

lakini nikikumbuka juu ya watu ka akina Nzembi na career zao, na feel dwarfedki-plani( media pia ni mezesha kivyake). lakini,  offi-shially, congrats Madam jo, we ni chuma moto* na pia crucial screws za upstairs ziko si-et :).

perfect combo, hehe

manze, tu-show proposal zinasendiwa wen pia mimi nikuchoree masonets wazimu zitareduce ule boyfulani yuitwa shake-the-mkuki to a mere son of a spear, er, grains and ngozi vendor…

shout outs pia kwa Campus Girl, Savvy…nili-sas majina zenu nikiwa kwa baze fulani ‘ya jenga mwili’ off-campus, asubuhiiii, niki-wait chai-andazi-mayai iletwe na ka-waiter fulani si hukaita Kanini Kaseo!

base ya jenga mwili, kwa ma-yo wote ka supreme ivi,  ni chyum za ma-hussla mtaani na campo, ukiwa mgeni unaitisha ugali madondo ya foti bob, ukiletewa unahepa ukilia -sikuitisha hiyo yote! 😀

anyway, ile hisia nilikuwa nayo nikianza hii post, nikaa ime-fade kiasi lakini agenda bado iko.

ni-issue fyam, especially kwa msee ako na progressive mind.

yaani imagine ukipiga mack-time for reason,seasons and causes beyond your control.

lakini natrust nimedo my best na ni Mbuyu wa upstairs an-do the rest.

one time tu, tutashine pia.

after all, kuna ka-quote kwa wall ya maskan yangu kao hunishow daily before nidoz:

‘I came here a youngster, i’ll leave a star!

forward match!

****

wooooooooooooosa!

mimi wenu, milele kuliko ndovu,

boyo.onelove, wazeiiiiiya.

Advertisements

5 Comments »

RSS feed for comments on this post. TrackBack URI

 1. Hee! that font size, yawa!
  Lol…asanti mazee.. Umeni challenge ku-vybe ka-sheng’ kiasi. Me huwa nime-rust kiasi jo! Proposals unaweza chora tuzianzie mapema! hehehehe…
  Ok, now am done with that lingo! 😀

 2. im just saying hi… since i cant make sense of this…

 3. eeeh, teach me swahili sometime coz… i be not clicking!

 4. wadup!!
  i like ur blogs, and am kynda new to this blogging thing, just opened 1 o’my own juzi and i want it viewd..

  c u chekit out ama add it to your blogroll?
  help appreciated

  eugenethomas.wordpress.com

 5. kikwetu. finally. msanii.


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Blog at WordPress.com.
Entries and comments feeds.

%d bloggers like this: