me-loo-drama:issue haikuwa tissue

September 18, 2008 at 11:31 am | Posted in life, randommoments, retardedrants | 6 Comments
Tags:

wazeiya! nimekawia jo since niangushe post moja na ki-sheng’speare, jo…lakini haidhuru. kwa wale hawaradi any,  manze, one-liner ni ile jamo:ka zile stika ziuwaga kwa mat-‘if the music is too loud, then you too old!’.si kwa ubaya lakini, ni kuwadunga to re-al.

anyway, juu ya meza kuna karisto fulani ningetaka tuirarue pajamo. nilienda ku-visit boiz mwingine hapo kwa hostel za chuo nikapata saga not-so-funny. sasa, iko ivi;kuna mudhii fulani hatutataja, ambaye aliangusha kitu ingine hapo kwa loo ili-ca

a loo bisected

a loo bisected

tegoriziwa ka ‘international.

auuuuuuuuuuuui!.

yaani, kulingana na ma-thesis na ma-analysis ziliangushwa na mafans, lazima huyu jamaa alikuwa na ma-helper wawili hivi walikuwa wanamshikilia design ya Moses na Aaron kwa Bible juu ile kitu jo!!! ya mtu saba kando.

hehe, Jona, rude boy fulani alikuwa anadai ati to make matters worse, ilikuwa ‘ONE LOVE’- haina joints na ilikuwa size ya mkono wake three-kwenje…hahahahahaha.

eee, niliwaacha wakitry kuflush lakini wapi, haikubanduka ata!

enyewe, ka Olympics kungekuwa na kategori ya kushonde, huyu boy angetuongezea medali ingine. Mwanamishale anafaa aongezee hii ‘nascent sport’ kwa ile post yake ya ‘olympics kenyan style’ as the sole competitor?

anyway, hii stori ilinikumbusha madhambi mob zishawahi ni-happen-ia kwa ‘executives’. mi enyewe kuongea ukweli, nilikuwa m-cheeky since  Stadi one.Maybe ni hii love ya art, rebellion against fate. imeniingisha kwa mezesh mob sana. sasa hii time, kulisemekana mi ndo nilichora magraffiti fulani kwa loo, na yule mo-de hakutaka kuskia any….wa wa wa, si niliriadwa?

“wewe dio unashola mitugo miaganu kwa kioro?” /you are the one drawing bad manners in the loo?

by the time alimada kusema ivo, urwaro ilikuwa nje ya daro, rasa tupu juu ya meza na ile kijiti haikujua utamu.**manze nili-soma ocha kiasi na huku tulikuwa tunachapwa ka shiet.hakukuwa children’s rights ama nini…the teachers word was law, their stick the governor…

back to the storo….schwwzzzap!schwwzzzap! ile pipe (with a bamboo reed inside) ilishikana na manyu ya mine, huku watoi daro wamenyamaza kama shonde chooni- machozi machungu kama kupokonywa ubikra yalitiririka, yakanidondoka….lakini WAPI?

“mimi?wallahi mwalimu sikushora kwa shoo!”

sikujua hii love ya art ya kujiexpress vifree inge-end up kuwa life line- am ni breadline.

maybe pia yule jamaa alikuwa na issue moja tafash kuliko kukosa t.p- tell us yua drama!

Advertisements

6 Comments »

RSS feed for comments on this post. TrackBack URI

 1. Lol so alidoo nini in the end…there is no way he went around smelling like crap??
  By the way this post reminds me of this “new” song “UNA” not sure who its by p unit??but its quite funny….mazee iyo sheng got me floating like a muther…

 2. Lol..mazee nimecheka kishenzi! Ati…”wewe dio unashola mitugo miaganu kwa kioro?” hehehe na …”one love…” LOL!!! 🙂

 3. Mazee umenivunja mbavu jo!! toka mwanzo hadi mwisho.Respects jo.

 4. Kwani huyu msee alikuwa amedishi nini?? Mazee hio shonde si ni mob vimesh….hii rysto inanikumbusha line fulani kwa ile ngoma ya kina Juacali inaitwa Mtu saba eti “si ni wageni wenye tukikam kwako tunaacha kitu kubwa kwa choo unashindwa kuiflush”. Enyewe nafeel hii post.

 5. Mzeiya, hii risto yako imenichekesha sana. Iko juu, uliambia mwalimu ati: “Sikushola mwalimu, si mimi”

  That just cracked me up!

 6. Hii stori imenikumbusha time moja Naii hakukuwa wodeeh. Ilikuwanga kitu 2003 hivi time ya wedo ya wamalwa hivi. Saa ma loo za collee zilikuwa zikishona mbaya. Wasee walikuwa wakisema ati loo zinakaa keki ya wamalwa. Alafu unakumbuka ngoma flani ya Mahatma, Nonini & Jua Cali inaitwa Labda, Si Wageni, Mtu Saba? Verse ya Nons huwanga na hii topic. Manze joh tushow uliachanga kushola shola mitugo kwa kioro!

  Dude joh hii stori iliwanga funny


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Blog at WordPress.com.
Entries and comments feeds.

%d bloggers like this: