game ya mtaa:mwaradha jo!

June 23, 2007 at 10:42 am | Posted in msheflani | 18 Comments

manze, sincerely ngoso imegonga ukuta saa hizi…kabisa, ika-diffuse tu kwa aiyia ivo ivo tu, sa ni do?wacha ni roll on na hii lugha ya mtaa, ambayo na mesea tu kiasi…
jo, wacheni maboyz niwaskizie, home grazing ni game datee ma-times…yaani, kuwa ga na ka chekedi hapo ivo kwa hood ni mwadhara, ni come ku-realise. ni curse diguised ka blessings jamaa…sijui lazima tu-experience ndo itu-hit ni poa kucheza hii game kwa ubongo….lakini i still think maisha ndio odijo wa vungu kwa kila mdhii.
manze, vichwa vingine vibovu ka vile modo, hivi, boyflani….hehe, lazima zitingishwe zitoe dandruffs ati ndio point i-sink in…sijui si hungojea kuku akamuliwe…
in short, siku hizi mi na kula na macho tu…iwe ni stage, church, ama place yeyote naweza patana na chuma moto za maana.na tamani na tamani, alafu ikizidi..mimi huyoooo teke teke, shawa baridi.
siwezi ngoja kuchoma picha tena.
ka-goose kangu kalishikwa, kakatolewa manyoya,na kaka-bekiwa nikiona tu hivo.
na 2 mek matters ngori kabisa, iliserviwa na salt n pepper, if u kno what i mean.
before nijue kenye nilikuwa na relish, kizee…picha yangu ilikuwa imechomeka beyond, recog.
isitoshe, nilichoma picha mtaa…mara mbili tena.
hawa ma-shore wa hood, eish,waogope..ume-mess na mmoja, wawili hivi, probability ni wote wamekuwekea wanted.almos’ ear marked.
eeee, modo…yule jamaa player, sujui yu behave ka mtoi…hata hajui ku-snogg. *giggles*. alafu, u kno mob wa hizi pang’ang’a ni mnyuka tu. watu tu wanamwagilia C.V. yako maji…u-player hater to. labda ulim-dump aka hurtika mbaya, ama zile kago zake, hazikuleteshei saa hizi.
blanda kwanza ni kaa we na mabeshte za huyo m0she, hamuwezi share stage..waa..incase of the lil shitty things that dot r/ships…wanaanza “ka-drop. ka-drop hako ka-fala!”
haha..wa!
bottom line yangu ni kuwa, nimecheki maboy wame maintain hiyo quo successfully. ma-boy wana respect mtaani ju hakuna yule anajua ma-bedroom secrets…yaani wao ni mystery tu.
dude, usifikiri unavyo manga zaidi ndivo unavyo pata respect..aaaaa aa!
in short, dont shit where u sleep, eat.sikiza hiyo siri..

special deds
egm- cud u help me remake my passports?
Unyc- here i come gal, naona mbe
joshua- wona uria arira aigua ni uramutiga…
Archer- niaje bro, manze nirentishe hizo ma-arrows niweze kulenga..

Any Other Biaching..hiii sato ni………….ku banjuka tu!

Powered by Podbean.com

Advertisements

18 Comments »

RSS feed for comments on this post. TrackBack URI

 1. Niko fao na ngoma nimeshaidownload. Sasa kubanjuka ni what? wacha nisome nitarudi.

 2. Bomseh ni nini kukimbilia place yangu??
  manze tulia!!

  Na mi nasema usicheze na ma mresh.. Utapata kipigo manze..
  lakini naona sasa umetulia.. Yako ni ya ritho tu na unasahau.. Ni poa kuchill.. hehehehe….

  Na mi request yangu iko??

  Lakini acha tutapatana dance floor au sio??..

 3. LOL!
  Umejaribu sana! Halafu advice yenyewe ni noma!
  Hope wasee wanaradar..:=)

 4. Passport hookup utapata! Shukran tele kwa deds…

 5. BF (na sio Boyfriend, I know am cute ..r) but I only touch unique diabz (get it?) 🙂

  “Ain’t no love, in the heart of the city..”
  I said where’s the love?
  “Ain’t no love, in the heart of town..”
  Yeah..

  now everyday I wake up
  Somebody got a prob with J’
  What’s all the fuckin fussin for? Because I’m grubbin more
  and I pack heat like I’m the oven door?
  Niggaz pray and pray on my downfall
  But everytime I hit the ground I bounce up like roundbaLL …

  HEART OF THE CITY.
  ************************************

  See if you learn …

  hehee, I got something cooking for you BF … It’ll be more BT oriented, and after how I expose you to the folks that do not know you, you will never be a BF to anyone male, female, hermaphrodite or otherwise ,,,,

  Heheee, am excited, ain’t you??

  But you have a chance 2 confess and repent your inequities before due diligence is served up …. hehee …

  What say you? 🙂

 6. Yaani boy unapeana advice ya ku board BT na vile wengine tumechoka na hii ride. Lakini kula na mcho ni poa aje. Coz unakula choice yako.

 7. Oi, achei teu blog pelo google tá bem interessante gostei desse post. Quando der dá uma passada pelo meu blog, é sobre camisetas personalizadas, mostra passo a passo como criar uma camiseta personalizada bem maneira. Até mais.

 8. @ boyflani: rodrigo anasema ukule shonde … hehe, read the last two words!! loool …

 9. Enyewe hiyo advise ni ya maana. Na ka resident superior wa BT mi sikulangi kwenye na shit, ukweli kabisa mi sikulangi… na ka huniamini ebu uliza palmela and hAngela…

 10. @bomseh..we banjuka tu na uwache usniper.
  @susan eish, simaanishi ati nawagwaya, wapi.wacha wa-i bring it one.
  request yako ni special, si unajua.
  @eee manze nimetry, bt life goes on!
  asiyesskia la boyflani…
  @egm..manze, fastisha tu juu msela, eish, yangu imechomeka mbaiya mtaa…
  @@bomseh..manze ebu welcome this bratha….manze kwanza its so bad these daiz..nw that july is here n its so coollllld..brrrrrr
  @rodrigo..eish eish..ret me translate first..wallai.. i still dont get it!!!
  we mwangi..notty wewe..u need to be spanked!!
  @3 n..need i say more bro?
  bomseh..hehehe..ati u ‘eat’ ua choice, thats a nw one!

 11. boyo, kuna mastar wakumanga wanaondesho. lakini ni ngori man. ni skill. lazima pia utapa jina ya you ikichafuliwa…umenab number one eye candy wa mtaa…sasa wadhii itabidi waonange eye candy na kitu ingine hapo…yuck(sio ati wewe…to them, waelewa?)

  na ofcourse ukiharibu dame wa mtaa, madame wote watakueka wanted…esp, mabest wa-she!

  usiwinde mtaani…export your skills. mshale mpe mishale zile kama za ramayan za kuenda fwaaa!

 12. Revolution is a Gwantanamo…
  Saa juu ya io burungo yako na lefa… Acha nibambike na risto tu…sina maoni…ju mi kuona nikaa bat kusoma…

 13. true modo, seems una -experience..mjamaa..we!
  @bantuts…well, if u have yua cards well played, u can stay in the terraces now…

 14. wololo ole wako pole sana, kuwekwa wanted na dame ni noma sana

 15. Eeeh kindly translate… me no speak swa

 16. *scooting over* welcome to BT, unataka njugu?

 17. manze hii lugha hapa imeleta nomaa… err, wacha nisome ma-comments tena …

 18. been there, done that!


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Create a free website or blog at WordPress.com.
Entries and comments feeds.

%d bloggers like this: